إرسال رابط إلى التطبيق

Mafundisho App


4.2 ( 6032 ratings )
الشبكات الاجتماعية الإنتاجية
المطور: Elias Patrick
حر

Mafundisho App imetengenezwa ili kushare mafundisho ya Neno la Mungu kutoka kwa watumishi mbalimbali yenye lengo la kukuza imani yako na kukusaidia katika safari ya kumjua sana Mwana wa Mungu yaani Yesu Kristo ili uzidi kujengwa kaaika imani yako.